Ufafanuzi wa buge katika Kiswahili

buge

nominoPlural mabuge

  • 1

    mtu aliyekatika kidole au asiye na kidole cha mguu au mkono.

Matamshi

buge

/bugɛ/