Ufafanuzi wa bughudha katika Kiswahili

bughudha

nomino

  • 1

    maneno au vitendo vyenye kuudhi au kuchukiza.

    masengenyo

Asili

Kar

Matamshi

bughudha

/buɚuða/