Ufafanuzi wa bujua katika Kiswahili

bujua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kokwa katika tunda.

    pujua

Matamshi

bujua

/buʄuwa/