Ufafanuzi wa buldoza katika Kiswahili

buldoza

nominoPlural mabuldoza

  • 1

    aina ya trekta ya nguvu k.v. katapila, yenye magurudumu ya silisili, na chuma bapa kikubwa kipana k.v. mwiko mbele yake, kinachotumiwa kuchimbia ardhi, kubomolea na kuzolea majengo, majabali au mchanga.

Matamshi

buldoza

/buldOza/