Ufafanuzi wa bunge katika Kiswahili

bunge

nominoPlural mabunge

  • 1

    baraza la taifa la kutunga sheria na lenye wajumbe wanaoingia kwa mujibu wa sheria.

Matamshi

bunge

/bungɛ/