Ufafanuzi msingi wa bure katika Kiswahili

: bure1bure2bure3

bure1

nomino

Matamshi

bure

/burɛ/

Ufafanuzi msingi wa bure katika Kiswahili

: bure1bure2bure3

bure2

kivumishi

Matamshi

bure

/burɛ/

Ufafanuzi msingi wa bure katika Kiswahili

: bure1bure2bure3

bure3

kielezi

  • 1

    bila ya kisa, bila ya sababu.

    bwerere, horera, nyara, shambiro, mwairo, dhalala, chewale

  • 2

    -siokuwa na thamani.

Asili

Kar

Matamshi

bure

/burɛ/