Ufafanuzi wa busara katika Kiswahili

busara

nominoPlural busara

  • 1

    akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa.

    hekima, falsafa, nadhari

Asili

Kar

Matamshi

busara

/busara/