Ufafanuzi wa butu katika Kiswahili

butu

kivumishi

  • 1

    -siyo kali; -siyokata.

    dugi, gutu

  • 2

    (kwa mtu)

    -zito, punguani, afkani

Matamshi

butu

/butu/