Ufafanuzi wa buye katika Kiswahili

buye

nomino

  • 1

    kitu kinachozuia kitu kingine kisiendelee.

    bui, kizuizui

Matamshi

buye

/bujÉ›/