Ufafanuzi wa bwachi katika Kiswahili

bwachi

nomino

  • 1

    sehemu ya pwani ambayo hukauka tu wakati wa maji kupwa.

    pwaji

Matamshi

bwachi

/bwat∫i/