Ufafanuzi wa bweshu katika Kiswahili

bweshu

nominoPlural mabweshu

  • 1

    mtu anayechukiza kwa tabia yake; mtu asiye mchangamfu.

Matamshi

bweshu

/bwɛ∫u/