Ufafanuzi wa chagaa katika Kiswahili

chagaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kuwa na juhudi na uwezo wa kufanya kazi; kuwa hodari.

  • 2

    fanya bidii.

Matamshi

chagaa

/t∫aga:/