Ufafanuzi wa chakula kikuu katika Kiswahili

chakula kikuu

  • 1

    zao kuu ambalo watu wa eneo fulani hulitumia zaidi kwa chakula.