Ufafanuzi wa chakura katika Kiswahili

chakura

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  tafuta kwa kupekuapekua vitu vya juu ili kupata kilicho chini.

  pekua

 • 2

  chimbachimba kama kuku.

 • 3

  weka ovyoovyo vitu vilivyopangwa vizuri.

  vuruga

Matamshi

chakura

/t∫akura/