Ufafanuzi wa chamkano katika Kiswahili

chamkano

nominoPlural vyamkano

  • 1

    kikundi cha watu kinachotawanyika.

  • 2

    m farakano, mgawanyiko

Matamshi

chamkano

/t∫amkanɔ/