Ufafanuzi wa changamana katika Kiswahili

changamana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa katika hali ya kuchanganyika.

 • 2

  shirikiana au changanyika na watu.

  shirikiana, tangamana

 • 3

  kuwa jirani na; pakana na.

Matamshi

changamana

/t∫angamana/