Ufafanuzi wa changanua katika Kiswahili

changanua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    tenganisha vitu vilivyoshikamana na kuviweka mbalimbali.

  • 2

    chambua dhana, fikira au maandishi ya mtu.

Matamshi

changanua

/t∫anganuwa/