Ufafanuzi wa changanyikiwa katika Kiswahili

changanyikiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa katika hali ya kubabaika au kukosa utulivu.

    pagawa

Matamshi

changanyikiwa

/t∫angaɲikiwa/