Ufafanuzi wa changua katika Kiswahili

changua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~lika, ~liwa, ~sha

 • 1

  weka mbalimbali vilivyo pamoja.

  pangua

 • 2

  katakata au tenga sehemu za mnyama aliyechinjwa kwa ajili ya kuliwa.

  ‘Changua msitu safisha msitu kwa kukata miti na nyasi, pengine kwa ajili ya kulima’
  ambua

Matamshi

changua

/t∫anguwa/