Ufafanuzi msingi wa chani katika Kiswahili

: chani1chani2

chani1

nomino

  • 1

    nungu wa baharini.

Matamshi

chani

/t∫ani/

Ufafanuzi msingi wa chani katika Kiswahili

: chani1chani2

chani2

nomino

  • 1

    sehemu ya pwani yenye kina kifupi na maji kidogo wakati wa maji kupwa.

  • 2

    sehemu maalumu ya kuchungia dema.

Matamshi

chani

/t∫ani/