Ufafanuzi wa chatu katika Kiswahili

chatu

nomino

  • 1

    nyoka mkubwa na mnene anayeua kwa kujivingirisha kwenye mwili wa windo lake.

Matamshi

chatu

/t∫atu/