Ufafanuzi wa chavua katika Kiswahili

chavua

nominoPlural chavua

  • 1

    unga wenye mbegu za kiume, agh. wa manjano, ulio ndani ya ua.

Matamshi

chavua

/t∫avuwa/