Ufafanuzi wa chechemua katika Kiswahili

chechemua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    tia hamu.

Matamshi

chechemua

/t∫ɛt∫ɛmuwa/