Ufafanuzi wa chegama katika Kiswahili

chegama

kitenzi elekezi

  • 1

    ingilia mtu kwa vitimbi.

  • 2

    sogelea karibu; pambana na.

    kabili

Matamshi

chegama

/t∫ɛgama/