Ufafanuzi wa chege katika Kiswahili

chege

kivumishi

 • 1

  -sioiva sawasawa.

  ‘Viazi vichege’
  cherema

 • 2

  -liolegea.

  ‘Mtu mchege’

 • 3

  lainilaini.

 • 4

  -liorowa chapachapa.

Matamshi

chege

/t∫ɛgɛ/