Ufafanuzi msingi wa cheleza katika Kiswahili

: cheleza1cheleza2cheleza3

cheleza1

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  weka kitu kwa makusudio fulani.

  bakiza

Matamshi

cheleza

/t∫ɛlɛza/

Ufafanuzi msingi wa cheleza katika Kiswahili

: cheleza1cheleza2cheleza3

cheleza2

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  Kibaharia
  pakua au ondoa shehena au bidhaa kutoka melini.

 • 2

  shusha shehena pwani.

Matamshi

cheleza

/t∫ɛlɛza/

Ufafanuzi msingi wa cheleza katika Kiswahili

: cheleza1cheleza2cheleza3

cheleza3

kitenzi sielekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  (kwa mazao ya mizizi k.v. muhogo, viazi) kuwa nene.

Matamshi

cheleza

/t∫ɛlɛza/