Ufafanuzi wa chembelele katika Kiswahili

chembelele

nomino

  • 1

    ungaunga au vipande vidogovidogo sana vya mkate kama boflo au maandazi.

Matamshi

chembelele

/t∫ɛmbɛlɛlɛ/