Ufafanuzi wa chemchemi katika Kiswahili

chemchemi

nomino

  • 1

    mahali maji yanapopenyea kutoka ardhini.

    bubujiko

  • 2

    chanzo cha kitu au jambo.

Matamshi

chemchemi

/t∫ɛmt∫ɛmi/