Ufafanuzi wa chemua katika Kiswahili

chemua

kitenzi sielekezi

  • 1

    piga chafya.

    hekemua

Matamshi

chemua

/t∫ɛmuwa/