Ufafanuzi msingi wa cherewa katika Kiswahili

: cherewa1cherewa2

cherewa1

nominoPlural cherewa

  • 1

    mchezo maalumu ambao watazamaji hustareheshwa kwa kusikiliza waimbaji wa nyimbo za mafumbo.

Matamshi

cherewa

/t∫ɛrɛwa/

Ufafanuzi msingi wa cherewa katika Kiswahili

: cherewa1cherewa2

cherewa2 , chelewa

nominoPlural cherewa

  • 1

    njiti nyembamba za makuti au ncha za miti midogomidogo inayokusanywa kusukia matando ya kutegea na kuvulia samaki baharini au kufanyia fagio.

  • 2

    chane za mgongoni mwa miyaa zinazobakia baada ya kuchanwa na kutolewa chane safi za kusukia kili.

  • 3

Matamshi

cherewa

/t∫ɛrɛwa/