Ufafanuzi msingi wa chewa katika Kiswahili

: chewa1chewa2chewa3

chewa1

nominoPlural chewa

 • 1

  (habari za asubuhi, habari njema) salamu inayotumika asubuhi ambapo mtu husema ‘chewa’; na kujibiwa ‘chewa’.

Matamshi

chewa

/t∫ɛwa/

Ufafanuzi msingi wa chewa katika Kiswahili

: chewa1chewa2chewa3

chewa2

nominoPlural chewa

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  pepo za asubuhi zinazovuma kutoka Mashariki wakati chombo kiko baharini.

Matamshi

chewa

/t∫ɛwa/

Ufafanuzi msingi wa chewa katika Kiswahili

: chewa1chewa2chewa3

chewa3

nominoPlural chewa

 • 1

  samaki mkubwa wa baharini mwenye kinywa kipana ambaye huweza kumeza hata mtu.

Matamshi

chewa

/t∫ɛwa/