Ufafanuzi wa Chimiini katika Kiswahili

Chimiini, Chimwini

nominoPlural Chimiini

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili isemwayo Barawa, nchini Somalia.

Matamshi

Chimiini

/t∫imi:ni/