Ufafanuzi msingi wa chinja katika Kiswahili

: chinja1chinja2

chinja1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kata shingo, hasa kwa wanyama.

 • 2

  ua mtu kwa ukatili.

 • 3

  punguza udongo wa chungu kinachofinyangwa.

Matamshi

chinja

/t∫inʄa/

Ufafanuzi msingi wa chinja katika Kiswahili

: chinja1chinja2

chinja2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  punja katika biashara kwa kuuza ghali.

Matamshi

chinja

/t∫inʄa/