Ufafanuzi wa chokoraa katika Kiswahili

chokoraa

nominoPlural machokoraa

  • 1

    mtoto au kijana wa mitaani, agh. huishi kwa kuokota au kuchakura vitu barabarani, mapipani au kwenye jaa.

Asili

Khi

Matamshi

chokoraa

/t∫ɔkɔra:/