Ufafanuzi wa chokowe katika Kiswahili

chokowe

nomino

  • 1

    ndege wa pwani wanaoruka wengi kwa pamoja na hasa wakati maji ya bahari yanapoanza kujaa, agh. hula samaki.

Matamshi

chokowe

/t∫ɔkɔwe/