Ufafanuzi wa chokozi katika Kiswahili

chokozi

kivumishi

  • 1

    -enye kuchokoza au kukasirisha mtu.

    ‘Mtoto mchokozi’

Matamshi

chokozi

/t∫ɔkɔzi/