Ufafanuzi wa chomeo katika Kiswahili

chomeo

nominoPlural machomeo

  • 1

    kitu kama msumari cha kuchomea nyama.

  • 2

    chombo cha kukaangia k.v. karai au kikaango.

Matamshi

chomeo

/t∫ɔmɛwɔ/