Ufafanuzi wa chonganisha katika Kiswahili

chonganisha

kitenzi elekezi

  • 1

    chochea watu ili wagombane.

Matamshi

chonganisha

/t∫ɔngani∫a/