Ufafanuzi msingi wa chopea katika Kiswahili

: chopea1chopea2

chopea1

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

 • 1

  enda kwa kuchechemea kama mlemavu.

 • 2

  enda upandeupande.

 • 3

  bonyea kwa kitu laini.

 • 4

  tumbukiza miguu katika sehemu ya majimaji.

Matamshi

chopea

/t∫ɔpɛja/

Ufafanuzi msingi wa chopea katika Kiswahili

: chopea1chopea2

chopea2

nominoPlural chopea

 • 1

  sehemu yenye matope mengi ambayo ukiikanyaga miguu huzama au hudidimia.

Matamshi

chopea

/t∫ɔpɛja/