Ufafanuzi wa chucha katika Kiswahili

chucha

kitenzi elekezi

  • 1

    tupa kitu k.v. kigongo au jiwe ili kuangusha tunda au kitu kingine.

    ‘Chucha embe’
    popoa

Matamshi

chucha

/t∫ut∫a/