Ufafanuzi msingi wa chugachuga katika Kiswahili

: chugachuga1chugachuga2

chugachuga1

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda huku na huku kwa wasiwasi; kuwa katika hali ya wasiwasi.

Matamshi

chugachuga

/t∫ugat∫uga/

Ufafanuzi msingi wa chugachuga katika Kiswahili

: chugachuga1chugachuga2

chugachuga2

nomino

  • 1

    vifungu vya nyuzinyuzi zinazoning’inia chini ya marinda ya wanawake.

Matamshi

chugachuga

/t∫ugat∫uga/