Ufafanuzi wa chungwa katika Kiswahili

chungwa

nominoPlural machungwa

  • 1

    tunda jamii moja na danzi na chenza.

Matamshi

chungwa

/t∫ungwa/