Ufafanuzi wa chupia katika Kiswahili

chupia

kitenzi elekezi

  • 1

    rukia harakaharaka; enda mbio.

  • 2

    kamata kwa ghafla.

Matamshi

chupia

/tāˆ«upija/