Ufafanuzi wa chupiza katika Kiswahili

chupiza

kitenzi elekezi

  • 1

    sogeza kitu kilichobebwa kwa upande wa juu ili kisiteremke.

Matamshi

chupiza

/t∫upiza/