Ufafanuzi wa chupuchupu katika Kiswahili

chupuchupu

kielezi

  • 1

    nusura jambo kutokea.

    ‘Timu yake iliponea chupuchupu kushuka daraja’
    nusuru

Matamshi

chupuchupu

/t∫uput∫upu/