Ufafanuzi wa daawa katika Kiswahili

daawa

nominoPlural daawa

 • 1

  mashtaka yaliyofikishwa mahakamani ili kutolewa hukumu.

  mashtaka, kesi

 • 2

  mambo yanayoleta ugomvi au kutosikilizana.

  utesi

 • 3

  mawaidha au mahubiri.

Asili

Kar

Matamshi

daawa

/da awa/