Ufafanuzi wa dahua katika Kiswahili

dahua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    rudia maneno yaliyosemwa awali.

Matamshi

dahua

/dahuwa/