Ufafanuzi msingi wa daka katika Kiswahili

: daka1daka2daka3

daka1

kitenzi elekezi

 • 1

  nyaka kwa mikono kitu kilichorushwa au kitokacho juu kuja chini.

  ‘Daka mpira’
  koroweza, nyaka

Ufafanuzi msingi wa daka katika Kiswahili

: daka1daka2daka3

daka2

nomino

 • 1

  nafasi iliyofanywa ndani ya ukuta ili kuwekea kitu.

  shubaka, bacha

Matamshi

daka

/daka/

Ufafanuzi msingi wa daka katika Kiswahili

: daka1daka2daka3

daka3

nomino

 • 1

  tunda ambalo halijakomaa k.v. nazi.

Matamshi

daka

/daka/