Ufafanuzi wa dakia katika Kiswahili

dakia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa, ~za

 • 1

  pita juu ya kitu kwa kuchuchumia.

  ‘Dakia kizingiti’
  kiuka

 • 2

  panda chombo kinachokwenda kwa kurukia au bila idhini.

  danda, dandia

 • 3

  fanya jambo kwa pupa.

Matamshi

dakia

/dakija/