Ufafanuzi wa dakiza katika Kiswahili

dakiza

kitenzi elekezi

  • 1

    ingilia kati mazungumzo ya watu wengine bila kuruhusiwa.

    chachawiza, hanikiza

Matamshi

dakiza

/dakiza/